Military

04.07.03 - ICTR/MILITARY - JAJI WILLIAMS AJIUZULU KUSIKILIZA KESI YA WANAJESHI

Arusha, Mei 23, 2003(FH) Jaji Kiongozi wa Mahakama namba III, katika Mahakama ya Kimataifa ya Mauaji ya Halaiki ya Rwanda (ICTR) amejiondoa katika kusikiliza kesi ya mauaji ya halaiki dhidi ya kundi la kwanza la maafisa wanne waandamizi wa jeshi la Rwanda (FAR) kutokaa na sababu binafsi. Jaji huyo, George L1oyd Williams kutoka visiwa vya St.

Dossiers