Justice Info

Mazingira ya mawasiliano ya kiteknolojia

Katika nchi za Maziwa Makuu, vyombo vya habari vyenye umaarufu ni redio. Vyombo vya habari vinavyochapisha makala vina mipaka ukizingatia idadi ya wasomaji, bei, matatizo ya usambazaji na vile vile asilimia muhimu ya wasiojua kusoma wala kuandika. Kwa ujumla, vyombo hivyo vina uwezo mdogo ambao unavifanya hata visiweze kumweka mshabaha wa kudumu katika mahakama ya ICTR mjini Arusha.

 

Mapu ya Africa masharikiKwa upande wa vyombo vya habari vya kimataifa, vinatosheleza kesi zinazohusu mauaji ya kimbali ya Rwanda katika hali isiyo na msimu kwani vinaagiza watu maalum wakati wa matukio muhimu.

 

{mosimage}Mwisho, huduma ya vyombo vya habari vya mahakama vyenye vyanzovya kibinadamu vina mipaka. Vinarusha matangazo kwa ufupi ya kuelimisha  kuhusiana na ajenda ya mahakama ya ICTR pamoja na kutoa majumuisho ya maamuzi makubwa na muhimu.

 

Katika hatua hiyo, wajibu mkubwa wa AIDF ni kuelimisha hasa wananchi wa Rwanda pamoja na raia wa kimataifa kwa ujumla. Shirika la Hirondelle ni kiungo pekee miongoni mwa vyombo vya habari kutoshereza usambazaji wa kila siku wa habari za ICTR katika lugha ya Kiingeleza, akaifaransa, Kiswahili na Kinyarwanda. Ili kuhakikisha usambazaji wa habari zake, AIDF imeendeleza na kuboresha ubia na vyombo vya habari kitaifa na kimataifa.