Annonce
  • Could not get the information for the podcast Weekly audio Swahili 27 07 from the database.

TAARIFA ZA HIVI KARIBUNI

27.02.12 - MAJUMUISHO YA WIKI (AUDIO)

Arusha, Julai 27, 2012 (FH) – Mahakama ya Kimataifa ya Mauaji ya Kimbari ya Rwanda (ICTR) wiki hii imesikiliza hoja za wisho katika kesi inayomkabili Waziri wa zamani wa Mipango wa Rwanda, Augustin Ngirabatware.Katika Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai (ICC) afisa mmoja ameelezea wasiwasi wake juu ya vitisho wanavyofanyiwa mashahidi katika kesi inayowahusu Wakenya wanne.Taarifa zaidi na Nicodemus Ikonko.

 Download File (Right click, and click on Save Link As)