Registrar
01.06.07 - ICTR/REGISTRAR - MSEMAJI WA ZAMANI AMERUDISHWA KAZINI
Arusha, 1 Juni 2007 (FH) - Roland Amoussouga ambaye aliachishwa kazi katika na fasi ya semaji wa mahakama inayoshughulikia kesi za mauaji ya Rwanda , ICTR, Septemba2005, amerudishwa kazini kama ilivyobainishwa na ofisa moja wa mahakama mjini Arusha. Amoussouga, mwanasheria kutoka nchini Togo, alidaiwa kuhusika na uteuzi wa mwanasheria mwengine kutoka Ufaransa katika ofisi ya wanasheria wa upande wa utetezi ICTR na kusimamishwa kazini na katika na fasi yake ya uongozi wa huduma za mahusiano ya nje ya ICTR.
