25.05.12 - MAJUMUISHO YA WIKI (AUDIO)

Arusha, Mei 25, 2012 (FH) – Waasi wawili wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC),German Katanga na Mathieu Ngudjolo waliendelea kukana mbele ya Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Janai (ICC) kuhusika na uhalifu nchini mwao. Umoja wa Mataifa (UN) umeamua kujenga kituo cha kutunza kumbukumbu za Mahakama ya Kimataifa ya Mauaji ya Kimbari ya Rwanda (ICTR), mjini Arusha, Kaskazini mwa Tanzania.Taarifa zaidi na Nicodemus Ikonko.

 Download File (Right click, and click on Save Link As)