Msajili

20.03.08 - ICTR/MSAJILI - ICTR BADO YAHAHA KUTAFUTA NCHI YA KUPOKEA WANAOACHIWA HURU

Arusha, 20 Machi, 2008 (FH) – Mahakama ya Kimataifa ya Mauaji ya Kimbari ya Rwanda (ICTR) bado inaendelea kufanya juhudi za kidiplomasia kutatua kitendawili cha muda mrefu cha kupata nchi za kuwapokea watu wanaoachiwa huru na Mahakama hii. Msemaji wa ICTR, Roland Amossouga alieleza kwamba mahakama hiyo hivi sasa inafanyakazi kwa bidii kupata nchi zitakazowapokea mawaziri wawili wa zamani wa Serikali ya Rwanda walioachiwa huru zaidi ya miaka miwili iliyopita na ambao mpaka sasa hawajapatiwa nchi za kuwapokea.

10.07.07 - ICTR/MSAJILI - KARIBIA WANAWAKE 250.000 WALIBAKWA WAKATI WA MAUAJI YA KIMBALI- ICTR

Arusha, 10 Julai2007 (FH) – Karibia wanawake 250. 000 wa wengi wao wakiwa watutsi walibakwa wakati wa mauaji ya kimbali kati ya Aprili na Julai 1994, kama ilivyosema mahakama ya kimataifa inayoshughulikia kesi za mauaji ya Rwand, ICTR, yenye makao yake makuu mjini Arusha, nchini Tanzania.

Dossiers