Makala

10.01.12 - ICTR/RUFAA - ICTR KUJIKITA ZAIDI KATIKA KESI ZA RUFAA 2012

Arusha, Januari 10, 2012 (FH) - Baada ya kuhitimisha idadi kubwa ya kesi zake katika ngazi ya mahakama ya awali, mwaka 2012 Mahakama ya Kimataifa ya Mauaji ya Kimbari ya Rwanda (ICTR) inatarajiwa kuelekeza nguvu zake kwenye kesi za rufaa.

04.01.05 - ICTR/MAKALA - 2004: MWAKA WA MATATIZO NA MAFANIKIO KWA ICTR

Arusha, Januari 3, 2005 (FH) Mwaka 2004 ni mwaka ulikuwa na mchangnganyiko wa mafanikio na matatizo kadhaa katika Mahakama ya Kimataifa ya Watuhumiwa wa Mauaji ya Kimbari ya Rwanda (ICTR). Mahakama hiyo iliweka nguvu za ziada katika kuongeza kasi ya usikilizaji wa kesi na utoaji wa hukumu nne zilizohusisha watuhumiwa sita wa mauaji hayo.

Dossiers