Genocide/Film

13.08.07 - RWANDA/GENOCIDE/FILM - HAKUNA ANAYEWEZA KUUMIA KAMA MWATHIRIKA WA MAUAJI (KAGAME)

Kigali 10 Agosti 2007 (FH) - " Hakuna anayeweza kuumia kama mnusurika wa mauaji ya kimbali “alisema rais Paul Kagame kama ilivyonukuliwa na kituo cha redio ya Rwanda Ijuma iliyopita. Rais Kagame aliyasema hayo Alhamisi wakati wa kufunga maonyesho ya filamu ilitumia kitabu cya aliyekuwa kamanda wa walinda amani nchini Rwanda kati ya Aprili na Julai mwaka 1994, jenerali Roméo Dallaire kutoka Canada.

Dossiers